JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Naibu Waziri Ummy atoa wito kwa wananchi kutembelea vivutio vya utalii

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia na (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga ametoa rai kwa wananchi, Taasisi na Wizara kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutembelea vivutio vyetu vya utalii wa ndani. Wito huo umetolewa wakati Viongozi na…

Aukumiwa kwenda jela maisha wa kumbaka mtoto

Noel Fungo (22) mkazi wa kijiji cha Ikondo jimbo la Lupembe wilayani Njombe,amehukumiwa kutumikia kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 9. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, John Makuri Imori, ameeleza hukumu hiyo…

DKT. Kikwete asisitiza amani nchi za SADC

Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri…

Koka: Kukamilika zahanati ya Saeni, mkombozi kwa wakazi Kata ya Misugusugu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Changamoto kubwa ya ukosefu wa huduma za kiafya iliyokuwa ikiwakabili wakazi wa mitaa ya Saeni,Zogowale na Jonung”ha ,kata ya Misugusugu,Kibaha Mkoani Pwani,imebaki historia baada ya ujenzi wa mradi wa Zahanati ya Saeni kukamilika. Changamoto hiyo…