JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TASAC kuendelea kuimarisha udhibiti huduma za usafiri majini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi wa Shirika la uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)Kaimu Abdi Mkeyenge amesemakatika kipindi cha Julai, 2022 hadi Juni, 2023 TASAC imeendelea kuimarisha udhibiti huduma za usafiri majini na kuhakikisha kuna ushindani sawia miongoni mwa watoa…

Wanajeshi wa Niger watangaza mapinduzi kwenye

Wanajeshi katika nchi ya Afrika Magharibi ya Niger wametangaza mapinduzi kwenye televisheni ya taifa. Walisema wamevunja katiba,wamesimamisha taasisi zote na kufunga mipaka ya taifa. Rais wa Niger Mohamed Bazoum amekuwa akishikiliwa na wanajeshi kutoka kwa kikosi cha walinzi wa rais…

Tanzania yachaguliwa makamu mwenyekiti jopo la kimataifa la sayansi ya mabadiliko tabianchi

Tanzania kupitia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Dkt. Ladislaus Chang’a, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi…

DED Msalala atamba kuvuka lengo makusanyo ya mapato 2023/2024

Na Mwandushi Wetu, JAMHURI MEDIA Mkurugernzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo imepanga kuvuka lengo la makusanyo ya mapato yaliyokusanywa katika Mwaka wa Fedha 2022/23.Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Katimba aliyeteuliwa…