JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Simba yaondolewa na Wydad Casablanca kwa mikwaju 4-3

Timu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mikwaju ya penati 4-3 . Katika mchezo huo ambao Simba alikuwa na faida…

Mamlaka ya Serikali Mtandao kutumia Mifumo ya Tehama kuboresha utendaji kazi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao ( e-GA) imejipanga kutumia mifumo ya teknolojia kurahishisha utendaji kazi wa watumishi wa umma. Hayo yameelezwa leo Aprili 28,2023…

Makamu wa Rais atoa wito kwa Jeshi la Polisi kujitathmini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kujitathmini mara kwa mara ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za nyakati hizi za mabadiliko makubwa kiteknolojia na kiuchumi. Makamu…

The Royal Tour yatimiza mwaka mmoja

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Filamu ya Tanzania The Royal Tour imetimiza mwaka mmoja tangu ilipozinduliwa Aprili 28 mwaka jana Jijini Arusha huku ikielezwa kuleta matunda kwa Taifa ikiwemo kuongezeka kwa idadi ya watalii na mapato kwa Serikali  Katibu Mkuu…

Rais Samia aongeza fedha za motisha kwa timu za Yanga na Simba kutoka Milioni 5 hadi 10 kwa goli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya…

Polisi Shinyanga wakamata watuhumiwa 132 kwa uhalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kupitia kitengo cha upelelezi kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia Machi 22,2023 hadi Aprili 26,2023 limefanikiwa kukamata na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa 132 . Akitoa taarifa hiyo kwa wanahabari Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani…