Author: Jamhuri
Yusufu Rai ajitosa ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya AAFP
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Yusuph Rai amesema kuwa endapo wananchi watampa dhamana ya kuwa Mbunge atahakikisha Jimbo hilo linapiga hatua kubwa kimaendeleo tofauti na Majimbo mengine yaliyopo…
Timu ya wataalamu kutoka SADC watembelea TMA kukagua na kukabidhi vifaa vya hali ya hewa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu kutoka Kituo cha Kikanda cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika โSADC Climate Service Centre- (SADC CSC) wanaoratibu utekelezaji wa mradi wa SADC…
Wizara ya Nishati yajivunia utekelezaji wa miradi saba kati ya 17 nchini
๐ Katibu Mkuu Nishati asema kati ya miradi hiyo saba, JNHPP imekamilika ๐ Asema EACOP imefikia asilimia 65 huku Serikali ya Tanzania ikichangia hisa za shilingi trilioni 1.12 ๐Ruhudji na Rumakali tafiti zakamilika Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Katibu…
Rais Samia atunukiwa Tuzo ya heshima kutambua mchango wake katika mapambano dhidi ya majanga
Na Dotto Kwilasa,Jamhuri Media,Dodoma Wakati zaidi ya watu milioni 83 duniani wakilazimika kuhama makazi yao kutokana na majanga ya asili, migogoro, na kuyumba kwa uchumi, Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani kuenzi mashujaa wa misaada ya kibinadamu ambapo safari hii…
Umeme jua kuchochea uchumi maeneo ya vijijini
๐Kaya 1,227 kunufaika na mradi wa Umeme Jua Lindi ๐REA kusambaza Majiko Banifu 5,576 Lindi ๐Kila wilaya kugawiwa Majiko Banifu 1,115 ๐Lindi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imepeleka Mkoani Lindi Mradi wa…
Dk Biteko azindua mpango wa utekelezaji ajenda ya wanawake amani na usalama
๐ Azitaka Wizara na Taasisi kutenga Bajeti kusimamia utekelezaji wa Mpango huo ๐ Awataka Wanawake kupambana katika maeneo waliyopo ๐ Awashukuru wadau wa maendeleo uandaaji wa Mpango huo Na WMJJWM- Dar Es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…