Author: Jamhuri
Maambukizi ya ugonjwa wa malaria yashuka kwa asilimia 10
Kutokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali maambukizi ya ugonjwa wa malaria nchini Tanzania umeshuka kutoka asilimia 18.1 kwa mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2022. Hali hiyo imetokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa…
Manchester City yatinga nusu fainali UEFA
Manchester City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika…
Tanzania kushirikiana na nchi za EAC kulinda rasilimali za uvuvi ziwa Victoria
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha rasilimali za uvuvi katika Ziwa Victoria zinalindwa ili zinufaishe jamii zinazozunguka ziwa hilo na mataifa husika kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu…
Wanajeshi 320 wa Sudan wakimbilia Chad wakitoroka mapigano
Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jumatano. Waziri wa ulinzi Jenerali Daoud Yaya Brahim aliuambia mkutano wa waandishi wa habari kwamba “Waliwasili kwenye ardhi yetu,…
Msigwa: Ripoti ya CAG ni nyenzo inayotumiwa na Serikali
Serikali imesema kuwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inatumika kama Nyenzo kwa serikali ili kuhakikisha yale mapungufu yote yaliyobainika yanafanyiwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa…
Majaliwa atembelea mradi wa ujenzi kituo cha biashara cha Afrika Mashariki Ubungo jijini Dar
Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa Mradi wa kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa na kampuni ya East Africa Commercial and Logistics Centre eneo la Ubungo jijini Dar es salaam Aprili 20, 2023. (Picha…