Author: Jamhuri
Mabula: Zingatieni masharti ya hati miliki za ardhi
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia,Mwanza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati milki za ardhi kuhakikisha wanazingatia masharti yaliyopo kwenye hati sambamba na kufuata mipango kabambe ya maeneo husika. Dkt Mabula amesema hayo…
Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji na uchimbaji madini
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema kuwa Serikali imefikia uamuzi wake wa kuingia makubaliano na kampuni zenye uwezo wa kuchimba na kuchakata madini nchini ili nchi iweze kunufaika na…
Serikali yafanya mageuzi makubwa shirika la TTCL
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa…
TANROADS ipo kazini kunusuru barabara ya Kimange-Chalinze
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Pwani zimesababisha kumomonyoka kwa kingo za kalavati na barabara ya Kimange-Chalinze upande wa kutokea Dar es Salaam. Kutokana na athari hiyo kumesababisha miundombinu hiyo ya barabara kutokuwa salama kwa…
Madereva 109 wafutiwa madaraja ya leseni
Na Mwandishi Wetu-Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha katika operesheni maalumu ya ukaguzi wa leseni za kuendesha vyombo vya moto na kuwafutia madaraja madereva 109 kwa kukosa sifa za madaraja hayo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoani…