Author: Jamhuri
Watoto saba wazaliwa mkesha wa Pasaka
Watoto saba wamezaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Pasaka huku katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro. Hayo yamebainishwa leo Jumapili April 9, 2023 na Kaimu Afisa Mahusiano wa hospitali hiyo, Scolastika Ndunga amesema kuwa watoto saba wamezaliwa katika mkesha…
Yanga hao nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation
Yanga imetinga hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation kwa ushindi dhidi ya Geita Gold. Dakika 90 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0 Geita Gold na ni kipindi cha pili wameokota nyavuni bao hilo. Ni Fiston Mayele dakika ya 57…
Dkt.Abbas atangaza ujio wa nyakati tamu na chungu TFS
Katibu MKuu Wizara ya Maliasili na utaliii, Dk.Hassan Abbas amewataka wahifadhi wasiokuwa tayari kutekeleza misingi ya pamoja waliyojiwekea katika kuhakikisha misitu inahifadhiwa nchini kutafuta mahala pengine pa kazi huku akieleza kuwa nyakati tamu na chungu zinakuja. Akizungumza leo Aprili 8,…
Wafariki wakiwasafirisha wahamiaji haramu,Waethiopia 100 wanusurika
Watu wawili wanaohusishwa kuhusika kwenye usafirishaji wa wahamiaji haramu wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari iliyokuwa ikisafirisha wahamiaji baada ya ajali iliyotokea katika kijiji cha Mng’elenge Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issah…
Rais Samia atoa trilioni mbili kutekeleza miradi Ruvuma
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili madarakani imetoa zaidi ya shilingi trilioni mbili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban…
Simba yatinga nusu fainali kwa 5G
Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation kwa ushindi wa 5-1 Ihefu. Mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Azam Complex huku ukishuhudia matumizi makubwa ya nguvu kwa wachezaji wa pande zote mbili. Mabao ya Simba yamepachikwa na…