JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwalimu wa CHAUMMA aahidi neema kwa Watanzania

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Ali Mwalimu,ameahidi kama atakuwa Rais wa Tanzania ataleta neema kwa watanzania pamoja na serikali yake kufanya kazi kwa uadilifu na uwajibikaji ili kumletea maendeleo…

Tanzania yaapa kung’ara FEASSA 2025 Kakamega

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Emmanuel Shindika, amewakabidhi bendera ya taifa wanamichezo wa Tanzania watakaoshiriki Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSA) 2025, huku akiwaasa kudumisha nidhamu, utulivu na mshikamano kipindi…

Wanamgambo RSF waua 40 Darfur

Watu 40 wameuawa na wengine 19 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) kushambulia kambi ya wakimbizi wa ndani ya Abu Shouk, iliyoko nje kidogo ya mji wa El-Fasher, Darfur Kaskazini mwa Sudan. Mashirika ya kijamii…

Mgombea urais Colombia afariki dunia

Mgombea Urais wa Colombia, Miguel Uribe, amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne, miezi miwili baada ya kushambuliwa kwa risasi alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Licha ya kuonyesha dalili za kupona katika wiki za hivi karibuni, madaktari walibainisha kuwa mwanasiasa huyo…

Daktari jela miaka 15 kumdhalilisha mgonjwa

Mahakama Kuu ya Anuradhapura, Sri Lanka, imemkuta na hatia daktari mwenye umri wa miaka 70 kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia mwanamke mwenye umri wa miaka 25. Tukio hilo lilitokea baada ya mama huyo kufika katika kituo cha afya kwa ajili…