Author: Jamhuri
Waonywa kucheza Ndondo Cup msimu wa Ramadhan
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Shirikisho la Soka Zanzibar ‘ZFF’ limewaonya Wachezaji wa Klabu za Ligi Kuu visiwani humo ‘PBZ Premier League’ pamoja na Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja na Pemba, kutojihusisha na kucheza Michuano ya Mitaani (NDONDO Cup)…
Dario bado ni mali ya Singida
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Nyota Dario Frederico kutoka klabu ya Singida Big Stars ameongezewa muda wa likizo na timu yake hiyo baada ya kupewa likizo ya mwezi mmoja kwa akili ya matibabu nchini Brazil na ripoti ya daktari ikionesha amepona…
EU yaridhishwa na utekelezaji miradi
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Umoja wa Ulaya (EU) umeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mradi wa kilimo wa AGRI-CONNECT inaoufadhili. Huu ni mradi ulioanzishwa mwaka 2020, unaolenga kusaidia kukuza kilimo katika mikoa sita ya Tanzania Bara na Zanzibar,…
NMB yatoa msaada wa milioni 39 sekta ya elimu Kanda ya Kati
Benki ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa Wilaya za Kanda ya Kati zikiwemo Mpwapwa, Kondoa na Chemba ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya dhamira yake ya kurudisha…
Wadau watambua nia nzuri ya Serikali ya maboresho ya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wadau wa habari pamoja na asasi za kiraia wametambua hatua nzuri iliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hasssan ya mabadiliko ya sheria mbalimbali zinazolalamikiwa. Hayo yamebainika kwenye kongamano la siku mbili…