Author: Jamhuri
Mpango aitaka TPA kukamilisha miradi yote ya maboresho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) kuhakikisha miradi yote ya maboresho ya bandari ya Tanga inakamilika ifikapo mwezi Aprili 2023 ili bandari hiyo ianze kufanya kazi kwa…
Ajiteka na kuomba milioni 2,Polisi wamdaka akimwagilia moyo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Tumshukuru Kibona (30), Mkazi wa Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha. Taarifa iliyotolewa na jeshi…
Twitter yamtoa kifungoni Donald Trump
Mmiliki mpya wa Twitter Elon Musk amesema akaunti Twitter ya Donald Trump imerejeshwa baada ya kufanya kura ya maoni ambapo watumiaji waliunga mkono hatua hiyo. “Watu wamezungumza,” aliandika Bw Musk, akisema kuwa 51.8% ya zaidi ya watumiaji milioni 15 wa…
Makamu wa Rais ataka viwanda viongeze uzalishaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango amekabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka ( PMAYA) huku akisisitiza umuhimu wa viwanda vya ndani kuongeza thamani ya bidhaa ghafi . Amevitaka viwanda kuachana…
Simba yarejea kileleni kibabe
Timu ya Simba SC imerejea Kileleni Kibabe baada ya Kuizamisha mabao 4-0 Timu ya Ruvu Shooting Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Baada ya kukaa mechi nyingi bila kufunga bao Mshambuliaji…