Author: Jamhuri
Mgombea urais ACT-Wazalendo Othman Masoud aahidi neema kwa wavuvi Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud, ameahidi kuimarisha sekta ya uvuvi Zanzibar endapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza na wavuvi wa Shumba, Micheweni Pemba, Othman alisema Zanzibar imezungukwa na bahari yenye…
Dk Nchibi aingia Mtwara Vijijini kusaka kura za Samia
Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Oktoba 02, 2025 anaendelea kusaka kura za Ushindi wa Kishindo za Dkt Samia Suluhu Hassan, Wabunge kwa kufanya mikutano ya hadhara ya Kampeni…
Dk Samia awasili uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha mkoani Arusha leo Oktoba 2, 2025, ambapo amepokelewa na mapokezi makubwa…
Marekani kuisaidia Ukraine kwa taarifa za kijasusi
Gazeti la The Wall Street Journal limeripoti kuwa Marekani inapanga kuipa Ukraine taarifa za kijasusi zitakazotumika kuratibu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi. Kwa mujibu wa gazeti la The Wall Street Journal, maafisa…
Koka na Katele waahidi Pangani yenye neema na kupaa kiuchumi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, mkoani Pwani, Silvestry Koka, amesema kata ya Pangani inakwenda kuwa kitovu cha maendeleo, akiwataka wananchi kutokiangusha Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu oktoba 29,2025. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni…