Author: Jamhuri
Shule za sekondari 92, msingi 154 Pwani zaanza kilimo cha mbogamboga kukabiliana na lishe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Shule za Sekondari 92 pamoja na Shule za Msingi 154 Mkoani Pwani,zimeanza kilimo Cha mbogamboga ili kukabiliana na changamoto ya chakula shuleni. Inaelezwa hatua hiyo inakwenda kuchagiza mwamko wa elimu inayoendana na afya bora mashuleni. Akielezea…
Global Education Link yatoa fursa vyuo vya nje sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakala wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea kwenye vuiwanja vya mwalimu Nyerere maarufu kama sabasaba….
Mpango ashiriki hafla ya makabidhiano ya madarasa Buhigwe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanasimamia vema watoto wao kupata elimu kwa mustakbali wa Maisha yao na kuwa na uhakika wa wataalamu mbalimbali wa baadae…
Kunenge: Rais Samia anafanyakazi kubwa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge ameziagiza wilaya, Halmashauri kujiwekea mipango kazi, mikakati ambayo inakwenda kuboresha mazingira ya kibiashara ili kuinua sekta ya biashara katika kuongeza pato la Taifa . Aidha ametoa rai kuimarisha…





