JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Viongozi ACT – Wazalendo wapokelewa kwa shangwe Unguja

Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, akiwa pamoja na Viongozi wenzake wa Kitaifa wa Chama hicho, wamewasili Unguja, wakitokea Jijini Dar es Salaam, na kupokelewa na maelfu ya Wanachama, wapenzi, wafuasi na wananchi wa Maeneo mbali mbali…

Wamachinga Dar waip tano Serikali kwa kuwajali, yawahimiza wananchi kushiriki chaguzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Wamachinga Dar es Salaam limeimiza kuwa maamuzi ya wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuwa wamejipanga kushiriki kwa kuwa ni haki yao kikatiba. Katibu wa Wamachinga Mkoa wa…

Nchi za Afrika, viongozi na wafanyakazi wa Serikali kuendelea kujengewa uwezo -Kilabuka

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha WITO umetolewa kwa nchi za Afrika pamoja na viongozi wake na wafanyakazi wa serikali kuendelea kujengewa uwezo na kupata mafunzo mbalimbali na kujifunza kwa lengo hasa la kuleta tija na matokeo chanya katika.taasisi za umma…

LATRA kuendelea kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za usafiri

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti Usafirishaji Ardhini (LATRA) imesema kuwa itaendelea kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za usafiri salama na nafuu. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, CPA Habibu Suluo, wakati akizungumza na waandishi wa habari…