JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Katibu Mkuu DP aishauri Serikali kuanzisha Wizara ya Umwagiliaji

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokratic Party (DP), Abdul Mluya amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara Mpya ya Umwagiliaji ambayo itajikita katika kuhakikisha inajibu hoja za sekta ya umwagiliaji. Hayo ameyasema Dar es Salaam Januari…

Wanne wa familia moja wafariki kwa ajali

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Morogoro Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Kwambe Point A Dumila, wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Kamanda wa…

Wafanyabiashara Kinondoni walia miundombinu mibovu ya Masoko

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Wafanyabishara wa Masoko ya Kigogo,Magomeni na Makumbusho katika Manispaa ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam wameiomba Serikali kuwatatulia kero zinazowakabili ikiwemo uchakavu wa Miundombinu ya Maji taka,pamoja na huduma zingine Muhimu kama vile kukosa sehemu ya Kuhifadhi…

RC Ruvum:Natangaza vita endelevu na wanaokata miti

Na Albano Midelo,JamhuriMedia, Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema kuanzia sasa anatangaza vita endelevu na watu wote wanaokata miti kwenye misitu na wanaoharibu vyanzo vya maji.Ametangaza vita hiyo kwa nyakati tofauti wakati anazindua upandaji wa miti…

Mlandege bingwa wa Mapinduzi Cup 2023

……………………………………………….. Timu ya Mlandege imetwaa ubingwa huo baada ya kushinda magoli 2 dhidi ya 1 la Singida Big Stars, ikiwa timu hizo zote zimeingia fainali kwa mara ya kwanza. Makamu wa Pili wa Rais (SMZ) Mhe. Hemed Suleiman Abdullah, Waziri…