Author: Jamhuri
Halotel Tanzania yakabidhi gari jipya la promosheni ya 7bang bang
Kampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST Mpya wa draw kubwa ya mwisho ya promosheni ya wateja iliyokuwa na jina la 7bang bang. Promosheni hiyo ya “7 bang bang”…
Rais ateua wajumbe wa Tume ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu…
Serikali kufuatilia video ya mhudumu wa afya Tabora iliyosambaa mtandaoni
Kufuatia kusambaa kwa video fupi katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha mhudumu wa afya akijibizana na mwenzake, huku mmoja akipinga matumizi ya vifaa tiba vilivyokwisha muda wake wa matumizi. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu video hiyo kuwa Timu…
Kesi ya aliyekuwa kigogo wa PSSSF na wenzake yazidi kurindima
Na Mwandishi wetu JAMHURI. Shahidi wa utetezi,Khalid Kilua katika kesi ya wizi wa vitu vya dukani vyenye thamani ya Sh 68.4 milioni inayomkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF),Rajabi Kinande na wenzake amedai kuwa alipewa taarifa…
Ridhiwani apendekeza TRC kuweka kituo Magindu ili Wanachalinze wanufaike na SGR
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambae pia ni mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametoa mapendekezo kwa Shirika la Reli Tanzania kuona namna ya kuweka kituo eneo la Magindu katika Reli ya…
Philibert Paschal Foundation Kutoa Elimu Kwa Madereva Bodaboda.
Na Mussa Augustine. Taasisi ya Philibert Paschal Foundation imekua ikitoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Madereva wa pikipiki za kusafirisha abiria(Bodaboda) ikiwa ni jitihada za kuisaidia serikali kupunguza vifo vitokanavyo na ajali za bodaboda zinazotokea mara kwa mara. Akizungumza Dar…