Author: Jamhuri
Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila apewa Ukamishna (PPP)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi leo Januari 5, 2023 kama ituatavyo Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa…
Diwani Athumani Msuya atenguliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Bw….
Bunge la Januari kuleta mwanga wa matumaini kwa wadau wahabari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wadau wa sekta ya habari nchini wanamatarajio makubwa ya mswada wa mabadiliko ya sheria ya habari kusomwa katika Bunge linalotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza na waandishi wa habari jana,Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),…
Msonde:Ukishindwa kusimamia kusoma, kuandika na kuhesabu jitathmini
Na Asila Twaha,JamhuriMedia,TAMISEMI Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka viongozi wanaosimamia elimu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa kujitathmini katika ufuatiliaji wa mwenendo wa elimu…