JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watanzania wamehamasika kushiriki Tamasha la JAMAFEST

Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Burundi Balozi wa Tanzania nchini Burundi Dkt. Jilly Elibariki Maleko amesema Watanzania wamehamasika na wamekuja kwa wingi katika Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linalofanyika kuanzia Septemba 4-12, 2022 nchini Burundi….

CSSC kupitia mradi wa Tuwekeze Afya kwenye makanisa waleta mafanikio

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Shirika la Christian Social Services Commission (CSSC), kupitia mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya unaolenga kuwezesha vituo vya afya vya makanisa kujiimarisha na kujiendesha kiuendelevu kupitia mapato ya ndani umeleta mafanikio mbalimbali ikiwemo kuongeza wateja kwa asilimia 22…

Kaya zilizohesabiwa nchini zafikia asilimia 99.99

Kamisaa wa Sensa ya watu na Makazi Anne Makinda akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 06 Septemba 2022 Jijini Dodoma. Amesema kiwango cha kaya zikizohesabiwa nchi nzima limefikia asilimia 99.99 na limehitimishwa rasmi. Kwa upande wa Sensa ya Majengo,…

NMB Jogging mguu sawa ‘Mwendo wa Upendo’

Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana Jumatatu ilianza kujifua mapema kwa ajili ya kujiweka tayari kushiriki mbio hizo. Jogging hiyo ilianza kujiandaa na mbio hizo kushirikiana klabu ya…

Kinana ahitimisha ziara kwa kuzungumza na wana-CCM Mwanza

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza kwa kuzunguzumza na wanachama wa Chama hicho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo. Mkutano huo ulihudhiriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu…