JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Simbachawane: Kazi ndio heshima ya mtu

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia, Dodoma Wakristo nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kujietea maendeleo, changia pato la Taifa na kutatua changamoto zilizo katika maeneo yao. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe….

Majaliwa:Tanzania yawasilisha miradi nane TICAD

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania imewasilisha miradi minane yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.334 katika Mkutano wa Nane wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali unaohusu ushirikiano wa Maendeleo baina ya Japan na Afrika…

Tanzania na Qatar zajadili ajira wakati wa Kombe la Dunia

Tanzania imeihakikishia Qatar kuwa ipo tayari kutoa vijana watakaoweza kufanya kazi nchini humo, hususan katika kipindi hiki ambacho mahitaji ya nguvukazi ni makubwa kutokana na nchi hiyo kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa Kombe la Dunia yatakayochezwa…

LIVE:Mkutano wa NHIF na wadau Geita

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekutana na wadau wake nchini kote kwa lengo la kuwasikiliza, kushauriana na kujadiliana namna ya kuboresha huduma mbalimbali wanazotoa ili ziweze kuwafikia kwa ufanisi. NHIF imejipanga kutoa huduma bora za matibabu kwa…