Author: Jamhuri
WWF yataka viumbe walio
hatarini kutoweka walindwe
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia,Mtwara Wananchi na asasi kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma wametakiwa kupaza sauti za kuwalinda viumbe hai walio hatarini kutoweka katika maeneo yao. Akizungumza katika mkutano wa wadau kutoka asasi mbalimbali na wananchi mkoani Mtwara ulioandaliwa na…
Viongozi vyama vya siasa watakiwa kushindana kwa hoja
Viongozi wa vyama vya siasa nchini wameaswa kushirikiana ili waweze kujenga mazingira mazuri ya kufanya siasa zenye tija na siasa za kushindana kwa hoja. Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibrahim Lipumba leo Februari…
Rais Samia atoa suluhu mgogoro wa ardhi Kingale,Kondoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan,ametoa Suluhu kwenye mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu dhidi ya eneo lenye ukubwa wa ekari 7,495.74 lililopo katika Vijiji vya Kata ya Kingale katika Halmashauri ya Wilaya…
Majaliwa : Tutaendelea kuwatumikia Watanzania
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-CCM na wananchi kwa ujumla waendelee kuiamini Serikali yao kwa sababu watendaji wake wamejipanga kuwatumikia kwa weledi, uadilifu na uaminifu wa hali ya juu….
Waliofariki katika tetemeko la ardhi Uturuki yafikia 300
Idadi ya waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi Kusini-Mashariki mwa Uturuki,karibu na mpaka wa Syria ni zaidi ya 300 huku wengine wakihofiwa kukwama katika vifusi. Utafiti wa Jiolojia wa Marekani ulisema tetemeko hilo la kipimo cha 7.8 lilitokea saa 04:17…





