Author: Jamhuri
Wajitokeza kupata elimu ya sekta ya Hifadhi ya Jamii
Wakazi wa mkoani Mwanza na maeneo ya jirani ya mkoa huo wamejitokeza kwa wingi kupata elimu ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwenye banda la Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu ambapo kupitia Idara ya Hifadhi…
Serikali yajipanga kutatua changamoto zinazokabili huduma ya malezi ya kambo na kuasili.
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema ipo katika mchakato wa kupitia upya Sera na taratibu zilizipo kwasasa ili kuweka utaratibu mzuri utaowezesha kupunguza changamoto katika zoezi la Kuasili na Malezi ya Kambo kwa…
Miili Watoto watatu waliofariki kwa ajali ya moto yaagwa leo Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema leo ameongoza shughuli ya kuaga miili ya watoto watatu wasioona waliofariki kwa ajali ya moto ulioteketeza bweni katika shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga na kusababisha vifo vya watoto hao. Shughuli ya…
IGP Wambura afanya ziara nchini Thailand
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camilius Wambura amefanya ziara chini Thailand na kutembelea kituo cha simu za dharura jijini Bangkok kinachohusika na kupokea, kuchakata na kusambaza taarifa za Uhalifu, Wahalifu na Majanga mbalimbali. IGP Wambura akiwa ameambatana na…
Waziri Mbarawa aeleza ripoti ya awali, uchunguzi ajali ya ndege ya Precision
Waziri wa ujenzi na Uchukuzi,Prof. Makame Mbarawa leo ametoa taarifa ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision iliyopata ajali Bukoba na kuua watu 19, ambapo ameeleza mambo mbalimbali yaliyobainika katika ripoti hiyo ya awali Akisoma ripoti hiyo…
BoT yawatolea macho wanaojihusisha na ukopeshaji bila leseni
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa imebaini uwepo wa baadhi ya taasisi, kampuni na watu binafsi wanaojihusisha na biashara ya kutoa mikopo bila ya kuwa na leseni, jambo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 16(1) cha Sheria ya Huduma…