JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwanajeshi wa Marekani awafyatulia risasi wenzake kambini

Wanajeshi watano wa Marekani walijeruhiwa baada ya sajenti wa Jeshi la Marekani kufyatua risasi kwenye kambi moja huko Georgia. Kwa mujibu wa maafisa wa kijeshi, baada ya sajenti kwa jina Cornelius Radford kuwafyatulia risasi askari wenzake katika kambi ya Fort…

Luhaga Mpina achaguliwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2025

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha ACT Wazalendo umefanya uamuzi mkubwa kwa kumchagua rasmi Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kupitia…

Mhandisi Mramba afungua mafunzo ya teknolojia ya nishati jua kwa wataalam

📌 Yanahusu usanifu, utengenezaji, ufungaji mifumo ya Nishati Jua na matumizi yake 📌 Asema mafunzo yanalenga kuendeleza matumizi ya nishati jadidifu kama ilivyoelekezwa katika Dira 2050 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka…

Wakulima, wavuvi Zanzibar watakiwa kutumia taarifa za hali ya hewa ili kuleta tija na kuongeza kipato

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa wito kwa wakulima na wavuvi kutumia taarifa za hali ya hewa ili kuleta tija na kuongeza kipato. Wito huo umetolewa kwenye Maonesho Nanenane 2025 yanayofanyika katika Viwanja vya Dole Kizimbani, Zanzibar. Mkurugenzi…

Njiwa wa mapambo wanaouzwa kwa laki nne hadi milioni moja, wageuka kivutio Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma NJIWA wa mapambo waliowasilishwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) yanayoendelea jijini Dodoma wamegeuka kivutio kikubwa kwa wananchi kutokana na muonekano wao wa kipekee pamoja na bei yao. Mfugaji wa njiwa hao,…

Trump kukutana na Putin

Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni kabisa. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi habari katika ikulu yake ya White House mjini Washington ni lini atakapokutana…