JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TANESCO yasitisha matengenezo ya LUKU

MATENGENEZO kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku yaliyokuwa yaanze Agosti 22 hadi 25, kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi yamesitishwa. Hatua hiyo imekuja baada ya muda mchache Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutangaza matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo…

Shaka aagiza kuchukuliwa hatua mtendaji wa kijiji Kaliua

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora kumchukulia hatua aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Ibambo kata ya Mwongozo Adam Muyaga…

‘Sheria inakwaza vyombo vya habari na kuzidi kusinyaa’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia MJUMBE wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), na katibu mstaafu wa jukwaa hilo Neville Meena amesema kuwa bado kuna ukakasi kwenye sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Kituo cha Radio…

Waziri atoa wiki mbili bandari Karema kuanza kutoa huduma

Naibu Waziri Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kuhakikisha bandari mpya ya Karema inaanza kutoa huduma ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo na abiria kwa mikoa inayozunguka Ziwa Tanganyika na…

Wajerumani waimarisha afya Zanzibar

Na Rahma Khamis,JamhuriMedia,Zanzibar Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazurui amesema kuwa Serikali ya Ujerumani imekusudia kuanzisha mfuko wa bima ya Afya (Health Insuarence) ambao utasaidia wananchi kuwapunguzia gharama za matibabu na kuweza kupata huduma bora Nchini . Ameyasema hayo…