JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Desemba 9, tuepuke “Kaliba kashaija…”

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia,Nairobi Makala hii naiandika leo Novemba 29, 2025 nikiwa hapa jijini Nairobi, Kenya. Naandika makala hii, kwanza kuwasihi ndugu zangu Watanzania, hasa vijana, kufikiria mara mbili na kufikia uamuzi wa kutoandamana hiyo Desemba 9, 2025. Nilipofika hapa…

Kunenge : Bodaboda wote wapewe mafunzo ya usalama barabarani mkoani Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameagiza mafunzo ya kuwajengea weledi maofisa usafirishaji (bodaboda) kuhusu usalama barabarani na sheria za usafirishaji kutolewa katika mkoa mzima. Aidha, amezitaka mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi na…

Wananchi wa Ormekeke Ngorongoro waanza kunufaika na mradi wa maji

Wananchi wa Kitongoji ya Ormekeke Kijiji cha Nasipaoriong tarafa ya Ngorongoro wameanza kunufaika na mradi wa maji baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuchimba kisima chenye uwezo wa kuzalisha lita 13,00 kwa saa na kujenga tanki lenye…

CBE yashika nafasi ya nane ubora vyuo elimu ya juu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE),kimesema kimeendelea kufanya vizuri kitaaluma ambapo utafiti uliofanyika mwaka jana ulikiweka kwenye nafsi ya nane kati ya vyuo 47 vya elimu ya juu. Hayo yalisemwa jana jijini Dar…

Tuchukue hatua kuepuka madhara ya usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa -Serikali

SERIKALI kupitia kwa Mkurugenzi msaidizi, Kitengo cha Afya Moja, Ofisi ya Waziri Mkuu Imebainisha kuwa Wananchi wanatakiwa kupata uelewa mpaka na taarifa sahihi kwenye Vyombo vya habari juu ya kuchukua hatua ili kuepuka madhara ikiwemo kuugua kwa muda mrefu ama…