JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

DC Machali avutiwa na ubunifu wa UDSM Maonesho na Nanenane

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKUU wa Wilaya ya Mkalama, Moses Machali, amekipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya sayansi, teknolojia na ubunifu nchini, akieleza kuwa chuo hicho kina nafasi ya kipekee…

TPHPA yazindua kifaa cha DNA kutambua magonjwa ya mimea kwa dakika 20

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imezindua rasmi kifaa cha kisasa chenye teknolojia ya utambuzi wa vinasaba (DNA) chenye uwezo wa kutambua kwa haraka visababishi vya magonjwa, wadudu na changamoto…

ACT Wazalendo: Tengenezeni wagombea watakaoleta mwelekeo chanya nchini

Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha ACT -Wazalendo Othman Masoud Othman,amewataka wanachama wa chama hiko wasiwaangushe Watanzania kwa kutengeneza wagombea, si wa kutafuta kura za ACT Wazalendo bali kunajenga mwelekeo wa kisera na kisiasa kuwaondoa Wananchi kwenye…

EACOP yachangia milioni 100 kwa watoto wa magonjwa ya moyo JKCI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki EACOP Umetoa mchango wa shilingi milioni 100 kwa ajili ya matibu ya watoto 25 wenye matatizo mbalimbali ya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya…

Tulia:Rejesheni mikopo na wengine wakopeshwe

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson ameyataka Makundi Maalam yanayokopeshwa Mikopo ya fedha za asilimia 10% za kuwasaidia, Kurejesha marejesho…