JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ummy: Tanzania bado ina uhaba wa madaktari bingwa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Tanzania bado ina uhaba mkubwa wa Madaktari Bingwa hivyo uwepo wa mpango wa kambi ya upasuaji wa huduma za kibingwa unahitajika sio kwa mkoa wa Tanga bali ni mikoa yote nchini. Ummy ambaye pia…

Majaliwa awajulia hali mama na mwanaye waliokolewa ajali ya ndege

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Kagera kushuhudia zoezi la uokoaji wa Ndege ya Shirika la Precision Air iliyopata ajali katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kageriliyopata ajali mkoani Kagera. Majaliwa amewajulia hali wahanga wa ajali wanaopata matibabu katika hospitali ya…

BREAKING NEWS:Idadi ya vifo vyafikia 19 ajali ya ndege

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amesema kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo katika ziwa Victoria wakati ikitua imeongezeka na kufikia vifo vya watu 19. Chalamila ametoa taarifa hiyo…

Watatu wafariki ajali ya Precision Air

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Issessanda Kaniki ameeleza kuwa kumetokea vifo vya watu watatu katika ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba mkoani Kagera. Kwa mujibu wa Mganga Mkuu, wawili kati ya hao waliofariki ni wanaume na mmoja ni…

Ndege yaangukia Ziwa Victoria Bukoba, 29 waokolewa

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air imeanguka katika Ziwa Victoria karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera. Kamanda wa Polisi mkoani humo amethibitisha kuanguka kwa ndege hiyo, na kuwa uokoaji unaendelea na atatoa taarifa kwa kina…