Author: Jamhuri
NLD yazindua ilani yake ya uchaguzi 2025
Chama cha National League for Democracy (NLD) kimezindua rasmi Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea katika mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyowasilishwa…
Mikoko ni dhahabu ya bahari, dira ya maendeleo ya uchumi wa buluu
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Tanga Mikoko ni moyo wa uchumi wa buluu. Bila mikoko,mazingira baharini yangekuwa dhaifu, maisha ya viumbe wa pwani yangepungua na uchumi wa jaii za pwani ungeathirika. Pamoja na faida hizo baadhi ya watu hukata mikoko kwa…
WMA yatoa onyo kwa wanaotumia vipimo batili kuwapunja wakulima
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma KAIMU Meneja wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) Mkoa wa Njombe, Henry Msambila, ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara na watu wote wanaotumia vipimo batili kwa lengo la kuwapunja wakulima, akibainisha kuwa kitendo hicho ni kosa…
Rais Samia atengua uteuzi wa Polepole, aondolewa hadhi ya ubalozi
Na Mwandishi Wetu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo imeeleza kwamba imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka ikitaarifu kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu…





