Author: Jamhuri
TANESCO: Ukame waathiri mabwawa 4 ya umeme
Na Stella Aron,JamhuriMedia Kutokana na ukame unaoikumba nchi, mabwawa ya kuzalisha umeme ya Hale, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Pangani yenye uwezo wa kuzalisha megawati 266 za umeme yamepungua uwezo wake na kwa sasa yanazalisha megawati 34 za umeme tu…
Tanzania ina idadi ya watu milioni 61.7
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua matokeo ya Sensa ya Watu na Mkazi kwa mwaka 2022 ambapo amesema kuwa Tanzania ina watu milioni 61, 741, 120. Akizindua matokeo ya Sensa leo Oktoba 31,2022 katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma na kuhudhuriwa…
Simba yaitwika mzigo Mtibwa Sugar 5-0
Klabu ya Simba imeamua kuifanyia ukatili Mtibwa Sugar baada ya kuinyeshea mvua ya magoli 5-0 na kuondoka na ushindi huo muhimu wa ligi kuu Tanzania bara. Kipindi cha kwanza Simba Sc ilifanikiwa kupata bao kupitia kwa Mzamiru na kuwapeleka mapumziko…
Mradi wa maji wa bil.1.6/- kumaliza changamoto ya maji Ruaha
Na Mwandishi Wetu,Ruaha HIFADHI ya Taifa ya Ruaha imesema kwa sasa kuna mradi mkubwa wa maji ambao unaendelea katika eneo la Malumbe Kijiji cha Tungamalenga kwa lengo la kuhakikisha maji hayo yanafika kwenye eneo la ndani ya hifadhi hiyo, ili…
NHC kuanza kuwasaka wapangaji waliokimbia na madeni
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limetangaza kuanza kampeni kabambe ya kukusanya madeni kwa wapangaji wa nyumba zake waliopo na waliohama ili kuhakikisha wanakusanya madeni hayo yanayofikia kiasi cha shilingi bilioni 26. Akizungumza na waandishi wa habari…