Author: Jamhuri
Wizara ya Afya yaikabidhi zimamoto magari ya uokoaji yenye thamani ya bil.1.6/-
WIZARA YA AFYA YAIKABIDHI ZIMAMOTO MAGARI YA UOKOAJI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6 Na. Catherine Sungura,Dar es salaam. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Julai 8, 2023 amemkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Inj. Hamad Masauni…
Tume ya utumishi yatakiwa kufanyiakazi changamoto za walimu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili Walimu nchini. Ametoa kauli hiyo jijini…
Rais Samia ataka vikwazo mpakani viondolewe
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara hususan mnpakani mwa Tanzania na Malawi ili wananchi waweze kunufaika na biashara zao.Rais Samia ameyasema hayo kabla ya kuhitimisha ziara…
Senyamule aagiza watumishi wazembe wachukuliwe hatua za kisheria
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametaka hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa watumishi wote ambao wamebainika kuhusika na vitendo vya ubadhirifu wa rasilimali au fedha za umma na kusababisha hoja za ukaguzi kwa uzembe. Akizungumza katika Kikao cha…
‘Serikali yaanisha mikakati ya kuvutia wawekezaji sekta ya madini’
Na Mwandishi Wetu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini na Taasisi zake imeweka mikakati ya kutangaza fursa zilizopo katika Sekta ya Madini ikiwa ni pamoja na ushiriki wake katika maonesho…





