JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Sheria maalumu ya kulinda maeneo ya kilimo mbioni kutungwa

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Simiyu Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amesema serikali ipo njiani kutunga sheria maalum kwa ajili ya kilimo ili kulinda maeneo yote yanayofaa kwa kilimo katika azma yake ya kukuza sekta ya kilimo nchini. Naibu Waziri Mavunde…

Mabadiliko tabia nchi yachangia kuua mifugo,wanyamapori Longido

Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mabadiliko ya tabia nchi,yameua mifugo na wanyamapori zaidi ya 38,72 kwa kukosa maji na malisho, wilaya ya Longido mkoa wa Arusha. Afisa Mifugo na Mabadiliko ya tabia nchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido,Nestory Daqarro alitoa taarifa hiyo,…

Mpango atoa pole msiba wa dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Oktoba 2022 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Bi.Grace Makalla ambaye ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla, Ibada iliofanyika…

Serikali yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu

Waziri wa Afya nchini Malawi alitoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu tangu ulipothibitishwa mwezi Machi, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Aifello Sichalwe, imesema kuwa mlipuko umekwishaenea katika…

Makampuni ya Japan yavutiwa na kahawa ya Tanzania

Makampuni ya Japan yameonesha kuvutiwa na kahawa ya Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan yajulikanayo kama 2022 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition yaliyofanyika jijini Tokyo tarehe 12 – 14 Oktoba, 2022. Maonesho hayo ambayo yalishirikisha taasisi zipatazo…