Author: Jamhuri
Mvutano wa kisiasa waibuka Dodoma, wanachama CCM waandamana kupinga uteuzi wa diwani mteule
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mbabala, jijini Dodoma, baada ya baadhi ya makada wa chama hicho kuandamana hadi ofisi za CCM Wilaya wakieleza kutokuwa na imani na diwani…
Jafo aibuka kidedea kwa kupata kura 4,412
MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe aliyemaliza muda wake,Dkt.Selemani Jafo, ameibuka kidedea katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupatakura 4,412 sawa na asilimia 76. Waliokuwa wakichuana na Jafo katika kinyang’anyiro hicho ni Mpendu 835 sawa na asilimia…
Wananchi wakaribishwa Nanenane kufahamu kwa kina mpango mahsusi wa nidhati 2025 – 2030
📌 Ni uliosainiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Misheni 300 Wizara ya Nishati imekaribisha wananchi kuendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima- NANENANE jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo…
Sura mpya 10 zaibuka kidedea ubunge CCM Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora KURA za maoni kwa watia nia wa ubunge na udiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata na Majimbo yote ya uchaguzi hapa nchini zimehitimishwa jana na kushuhudiwa damu mpya zikipenya katika uchaguzi huo….
EWURA CCC yapongezwa, yaelekezwa kuimarisha huduma vijijini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo Agosti 5, 2025 ametembelea banda la Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni…





