JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwigizaji wa filamu ‘Sonia’ afariki dunia

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Farida Sabu maarufu ‘Sonia’ amefariki dunia.Sonia amewahi kuwika katika maigizo mbalimbali ya kundi la Kaole. Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma amethibitishwa leo Alhamisi Julai 21, 2022 na Amesema marehemu Sonia amefikwa na umauti…

Manara afungiwa kujihusisha na soka

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia msemaji wa Yanga SC, Haji S.Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa muda miaka miwili pamoja na kulipa faini ya sh.milioni 20….

Uganda yajifunza usafirishaji mafuta ghafi TAZAMA

NA Zuena Msuya, JamhuriMedia,Dar Serikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uganda waliokuja nchini, kuona na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi kupitia Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Tanzania hadi Zambia…

‘Asiyeshiriki kuhesabiwa anarudisha nyuma maendeleo’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Hanang’ Serikali imepanga kuhesabu kwa mara moja watu wote watakaolala nchini kwenye usiku wa kuamkia siku ya sensa Agosti 23 mwaka huu. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu Lameck Nchemba ameyasema hayo mji mdogo wa Katesh Wilayani…

Tanzania yafikia asilimia 37 ya uchanjaji UVIKO-19

Na Catherine Sungura,JamhuriMedia,Tanga HADI kufikia Julai 18, 2022 jumla ya wananchi milioni 11.5 sawa na asilimia 37 ya watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea wamepata chanjo kamili ya UVIKO-19 hapa nchini. Hayo yamebainishwa jana na Waziri wa Afya…

Waziri Mulamula aongoza ujumbe mkutano wa 24 SADC

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Liberata Mulamula ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa…