JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kauli ya ‘Rais Ganja’ yazua gumzo

Mombasa Na Dukule Injeni Hakuna ubishi, urais Kenya ni mbio za farasi wawili licha ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kupitisha majina manne ya wanaosaka kumrithi Rais Uhuru Kenyatta kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu. Naibu…

Wananchi wakataa kutawaliwa  na Malkia wa Uingereza

Na Nizar K Visram Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) ulifanyika mjini Kigali, Rwanda Juni 20 hadi 25, mwaka huu. Mwenyekiti alikuwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Sherehe za ufunguzi wa mkutano ziliongozwa na mwanamfalme Charles akimwakilisha mama…

Tuzungumze, tujenge nchi pamoja

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Wakati wa harakati za kudai uhuru, viongozi wa Kiafrika waliwaunganisha wananchi kwa kuanzisha vyama vya siasa, pamoja na mambo mengine vyama hivyo vilianzishwa kwa madhumuni  ya kutafuta umoja ambao ulikuwa ni silaha namba…

Urais, kizazi cha dhahabu cha Arusha

LONDON Na Ezekiel Kamwaga Mwanzoni mwa miaka ya 1980, mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa Serikali ya Tanzania alipata safari ya kwenda nchini Yugoslavia kikazi.  Siku moja kabla hajaondoka, akaitwa Ikulu na aliyekuwa Rais wakati huo, Mwalimu Julius…

Loliondo yametimia

NGORONGORO Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mvutano uliopo Pori Tengefu la Loliondo mkoani Arusha kati ya serikali na baadhi ya wananchi wanaoungwa mkono na asasi zisizo za kiraia, una vimelea vya uchochezi kutoka kwa raia wa kigeni….

Mkuu wa Gereza kortini kwa mauaji 

*Afikishwa pamoja na askari magereza wawili *Akiwa mahabusu anatumia simu kutoa maelekezo ya kikazi  Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi…