Author: Jamhuri
Simba yalazimisha sare na Singida Big Star
Klabu ya Simba Sc leo imeingia uwanjani kumefanyana na timu ya Singida Big Star mechi ambayo Simba Sc ikilazimisha sare ya 1-1 baada ya kusawazisha bao kipindi cha pili. Singida Big Star walianza kupata bao kupitia kwa nyota wao Deus…
RC Dendego aikumbusha EWURA kusimamia maslahi ya wafanyakazi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Iringa Mkuu wa wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego ameielekeza Menejimenti ya EWURA kushugulikia maslahi ya Wafanyakazi kwa wakati ili kuondoa malalamiko yanayoweza kujitokeza sehemu za kazi kwa lengo la kuimarisha utendaji na ufanisi wa utendaji. RC…
Washauriwa kuunganisha nguvu kukabiliana na uharibifu wa misitu
Serikali imewataka wadau wa misitu katika Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma,kuunganisha nguvu zao katika kukabiliana na uharibifu wa misitu ili kuwa na misitu endelevu kwa ajili ya kuharakisha maendeleo na ukuaji wa uchumi nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa…
TAKUKURU yawafikisha mahakamani waliojenga kibanda hiki kwa mil.11/-
Na Benny Kingson,JamhuriMedia,Tabora Watumishi wanne wa Chuo Cha Mafunzo Stadi (VETA), mkoani Tabora wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),kufuatia kufuja fedha sh.mil.750 za ujenzi wa chuo wilayani Uyui ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri…





