Author: Jamhuri
Kikosi cha U23 kuingia kambini kesho
Kikosi cha timu ya taifa ya ya Vijana chini ya umri wa miaka 23 kitaingia kambini kesho kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kufuzu AFCON U23. Katika hatua nyingine, Tanzania imepangwa Kundi B pamoja na Uganda na Ethiopia katika mechi…
Prof Makubi:Bima ya afya inatoa fursa ya kutibiwa hospitali yoyote unayoitaka
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amebainisha kuwa, Bima ya Afya kwa wote itatoa fursa kwa Mtanzania mwenye hali yoyote kwenda kupata matibabu katika hospitali yoyote zikiwemo hospitali za kitaifa kama Muhimbili na nyingine za kibingwa. Prof. Makubi…
Rais kupokea na kuzindua chuo cha VETA Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania anatarajiwa kupokea na kuzindua Chuo kipya cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) cha Mkoa wa Kagera. Halfa hiyo inatarajiwa kufanyika Alhamis tarehe 13 Oktoba, 2022. Katika Chuo hicho kipya kilichopo Burugo Nyakato Kagera….
Polisi yamsaka mwanaume aliyemkata mpenzi wake sehemu za siri na matiti
Jeshi la Polisi linamtafuta mtu aliyefahamika kwa jina moja la Masoud kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri pamoja na chuchu za matiti zote kwa aliyekuwa mpenzi wake aliyedumu naye miezi miwili. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Ramadhani…
Kundecha:Elimu ya dini kwa watoto itapunguza ubakaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wazazi wameshauriwa kuzingatia malezi na maadili kwa watoto wao ili kupunguza idadi ya watoto wanaojiingiza katika makundi yasiyofaa na kusababisha kufanya matendo yanayoishangaza jamii. Ushauri huo umetolewa leo Oktoba 12, 2022 na Amiri wa Baraza Kuu la…





