Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani anatarajia kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya umeme gridi ya taifa Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam leo Februari 14, 2023.

Unaweza kutufuatilia mubashara kupita Youtube Chennel ya Ikulu Mawsiliano hapa chini, endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya kijamii #Jamhuridigital na tutaendelea kukujuza zaidi

By Jamhuri