Author: Jamhuri
Kajula ndiye Mtendaji Mkuu mpya Simba SC
Klabu ya Simba imemtambulisha Imani Kajula kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa klabu hiyo kwa mkataba wa miezi sita, akichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiondoa. Meneja wa Habari wa Simba,Ahmed Ally,amesema kuwa mkataba huo unaweza kurefushwa endapo bodi itaridhishwa na…
Jumaa:Twendeni kwenye majukwaa tukaeleze yanayofanywa na Serikali
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi Taifa (MNEC)-Wazazi ,Hamoud Jumaa amewaasa wanaCCM kujipanga kwenda majukwaani kusema makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita sanjali na utekelezaji wa ilani. Ameeleza ,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fursa…
Polisi wazungumzia taarifa za ugaidi kwenye mitandao
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hali ya ulinzi na usalama wa nchi ni shwari kwani matukio makubwa yanayoweza kuleta hofu kwa wananchi yanaendelea kudhibitiwa, Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari leo Januari 26, 2023 na msemaji…
Kilo 399 za dawa za kulevya zakamatwa
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata jumla ya kilo 399.28 za dawa za kulevya aina ya bangi katika Kitongoji cha Sokoni, Kiji cha Chogoali, Kata ya lyogwe, tarafa ya Gairo, wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro. Kwa…
Umoja wa Ulaya waridhishwa na mradi wa maji Mwanza
………………………………………………………………………………………………………. Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wameridhishwa na ubora na kasi ya ujenzi wa mradi wa shilingi bilioni 69 wa Dakio jipya la Maji katika eneo la Butimba Jijini Mwanza. Mabalozi wa Umoja huo wamepongeza jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali…





