JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bunge litunge ‘Sheria ya Corona’

Vita dhidi ya corona ni zaidi ya masuala ya utabibu. Ni vita ya kuunusuru uhai wa watu na uchumi. Tangu mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) uliporipotiwa kwa mara ya kwanza Desemba…

Serikali yajipanga kuboresha sekta ya uvuvi

Serikali imepanga kutumia zaidi ya Sh bilioni 92 mwaka ujao wa fedha kuimarisha sekta ya uvuvi nchini ili kuhakikisha fursa zinazopatikana kwenye sekta hiyo zinachangia kikamilifu maendeleo ya nchi.  Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha na Mipango, kiasi kikubwa cha…

Afrika inaweza kuitawala dunia

Tangu baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili mwaka 1945, dunia imeshuhudia mivutano mikubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii.  Mivutano hii inalenga kuathiri mlingano wa mamlaka ambayo yanazipa nchi, au makundi ya nchi nguvu ya kutawala dunia kupitia mambo mbalimbali…

Kigoma sasa yafunguka

Ndoto ya kuunganisha kwa lami Tanzania, Burundi, DRC kupitia ‘central corridor’ yaiva Mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa nchini Tanzania unaosimamiwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) una jumla ya kilomita 36,258…

Ndugu Rais duh! Baba uko juu ya mawe!

Ndugu Rais, wanao tumekuona umelala juu ya jiwe. Umetukumbusha Yakobo yule aliyeimbwa na wanakwaya mahiri wa Mamajusi wa Majengo, Moshi.   Yakobo alikuwa anasafiri kutoka Delisheba akielekea Almara. Njiani alichoka sana, akaamua kulala kwenye jiwe. Tunaambiwa malaika wa Mwenyezi Mungu walikuwa…

Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (4)

Katika sehemu hii ya nne na ya mwisho ya makala hii iliyobeba anuani ‘Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA)”, ninapenda kwa dhati kabisa kuwashukuru wasomaji wa Gazeti hili la JAMHURI ambao huwasiliana…