JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Daktari bingwa aanzisha mtandao wa kuelimisha wazazi

Daktari bingwa wa watoto katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam, Rahim Damji, ameanzisha mtandao wa kutoa ushauri na elimu ya afya ambao umewasaidia wazazi wengi kuokoa maisha ya watoto wao. Akizungumza na JAMHURI hivi kaibuni, Dk. Damji, amesema…

Bodi ya Korosho yatakiwa kulipa 16m/-

Bodi ya Korosho imetakiwa kulipa haraka deni la Sh milioni 16 kwa Kijiji cha Kimanzichana Kaskazini, wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani baada ya kukodi ghala la kijiji hicho kwa ajili ya kuhifadhi pembejeo za korosho. Agizo hilo limetolewa hivi…

Tujiandae kugharamia bajeti yetu kutoka ndani

Wiki iliyopita Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, aliwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kiwango cha ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21. Katika wasilisho lake, Dk. Mpango alieleza kuwa kwa mwaka ujao…

MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (1)

Badili picha mbaya kuwa picha nzuri Kuna wanaoona miiba kwenye ua waridi na kuna wanaoona waridi kwenye miiba. Penye ubaya kuna jambo jema limejificha, penye ugumu kuna furaha imejificha, penye matatizo kuna fursa zimelala. Uwezo wako wa kubadili picha mbaya…

NYUMA YA PAZIA

ALEXANDER GRAHAM BELL Alivumbua simu lakini alikuwa mnyanyasaji mkubwa Karibu katika safu hii mpya inayolenga kuangalia upande wa pili wa maisha ya watu maarufu ambao wamefanya mambo makubwa duniani. Kwa kawaida, watu hao hujulikana zaidi kwa mambo hayo makubwa waliyoyafanya….

Tusipende amani kwa kuisahau haki

Daima amani ni tunda la haki. Penye haki amani hutamalaki. Mwenye haki, kwa maana ya kutenda na kutendewa haki, mara zote huwa mpole na mtulivu. Kwa sababu sioni ni kitu gani kitamfanya akose utulivu kama haki yake haijaguswa. Kwa wakati…