Author: Jamhuri
Tanzania,Namibia zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano
Windhoek, Namibia, 10 Machi 2023 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri Namibia zimesaini Hati za Makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya usalama, mishati na mashauriano ya kisiasa na kidiplomasia. Hati za Makubaliano hayo zimesainiwa katika Mkutano wa Tatu wa…
Serikali yajipanga kuendeleza michezo sita ya kipaumbele
Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imejipanga vema kusimamia na kuendeleza michezo sita ya kipaumbele ya kimkakati ikiwemo mpira wa kikapu ili kuleta tija katika sekta ya michezo nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema hayo…
TUCTA:Maeneo ya kazi yanapokuwa salama kunaongeza uzalishaji
Na Mwandishi Wetu,JAMHURIMEDIA Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) limetoa wito kwa maeneo ya kazi nchini kuzingatia taratibu zote za usalama na afya mahali pa kazi ili kulinda nguvukazi na mitaji iliyowekezwa jambo ambalo litapelekea tija kupatikana katika uzalishaji….
Pinda ataka uwajibikaji wa pamoja na kuongeza maduhuli ya serikali
Na Anthony Ishengoma,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda, amesema vipaumbele vya Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya ukusanyaji maduhuli ya serikali kupitia pango la Ardhi lakini kuboresha mawasiliano kati ya watendaji ardhi walioko…
Rais Samia atoa bil.145.7/- kujenga mradi mkubwa wa maji Songea
Serikali inatarajia kuanza kutekeleza ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 katika mji wa Songea mkoani Ruvuma unaogharimu shilingi bilioni 145.7. Hayo yamesemwa Machi 10,2023 na Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso ambaye amewakilishwa na Naibu Waziri wa Maji…





