Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpainduzi (CCM),Daniel Chongolo akisikiliza kwa makini maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Kampasi ya Babati kutoka kwa Meneja wa Chuo hicho Kampasi ya Babati Edson Chongolo (kushoto) ambapo mpaka sasa ujenzi wa jengo la Utawala,madarasa na mabweni unaendelea na unategemea kugharimu bilioni 8.8
Katika ziara hiyo Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Haji Issa Ussi (Gavu).

By Jamhuri