Author: Jamhuri
Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (2)
Historia yangu inakwenda mpaka nilipoanza kuaminiwa kusoma na kuandika katika madaftari na vitabu vikubwa kama mkeka. Nilivipenda vitabu kwa hadithi zake na kuandika kwa kuchora vizuri na kusifiwa na masista ambao walikuwa walimu wangu. Ni katika kipindi hiki ndipo nilipogundua…
ISHI NDOTO YAKO (1)
Haben Girm ni mwanamke aliyezaliwa akiwa haoni wala kusikia. Haben Girm alizaliwa katika familia maskini sana. Haben alipozaliwa akiwa haoni wala kusikia watu walimshauri mama yake amtupe kichakani. Mama yake alikataa kata kata. Mama yake alisema: “Siwezi kumtupa mtoto wangu kichakani kisa ni kipofu.” Haben alikulia katika mazingira magumu…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (8)
Panga kuvunja rekodi Kuna baadhi ya watu wanapopata matatizo wanavunjika moyo, wengine wanavunja rekodi. Kuwa na maono ya kuvunja rekodi katika eneo ulipo. Hakikisha viwango na masharti vinazingatiwa. Matendo yawe yanayokubalika kisheria na ni mema. Jiwekee viwango ambavyo vitakusaidia katika…
Ubalozi wa China chachu ya maendeleo ya elimu nchini
Ubalozi wa China nchini Tanzania umeendelea kutoa msaada kwenye maendeleo ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa shule na kutoa elimu ya lugha ya Kichina ambayo imekuwa ikifundishwa katika shule na vyuo mbalimbali nchini. Wiki iliyopita Ubalozi…
Busara ya Nyerere ifanye kazi Simba
Fedha si msingi wa maendeleo! Haya ni maneno yaliyowahi kutamkwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yalisemwa miaka mingi kabla dunia haijautambua utandawazi. Tunayaona ndani ya Simba inayotaka kumtimua Patrick Aussems. Mwalimu Nyerere alimaanisha kwamba fedha ni matokeo…
Kampuni za bilionea Friedkin zaminywa
Mbinu za ukwepaji kodi unavyofanywa na kampuni za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazidi kufichuka baada ya kubainika kuwa kwa miaka zaidi ya 30 serikali imekoseshwa mabilioni ya shilingi kupitia udanganyifu kwenye mishahara. Akaunti maalumu kwa mpango huo zimefunguliwa ughaibuni na kutumika…