JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zaidi ya Trillion 1.44 zawanufaisha wananchi Geita

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkoa wa Geita umepokea kiasi cha Shilingi trilioni 1.44 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambazo zimetumika kwenye sekta mbalimbali kama afya, elimu, miundombinu, kilimo, maji, nishati, utalii, uwezeshaji wananchi kiuchumi pamoja na miradi mikubwa…

Maendeleo ya viwanda Simiyu, mnyororo wa thamani waanza kulipa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza kwa kasi jitihada za kuijenga Tanzania ya viwanda, huku Mkoa wa Simiyu ukiibuka kama miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa kuwekeza kwenye…

Adaiwa kumuua baba yake kwa tuhuma za kutaka kumiliki mali

 JESHI la Polisi, Mkoa wa Pwani linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Muhenza, Wilaya ya Kibaha, Rajabu Musa (23) kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Hamis Said maarufu kama ‘Mzee Mpili’ kwa tamaa ya kumiliki mali za baba yake, ikiwemo…

Muhimbili, Vodacom kutoa matibabu bila malipo kwa wakazi Tanga, Kilimanjaro

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania Foundation itafanya kambi maalum ya huduma za uchunguzi na matibabu ya ubingwa bobezi bila malipo kwa wakazi wa mikoa ya Tanga na Kilimanjaro kuanzia Julai 21 hadi 27, 2025. Kwa…

Serikali yatambua kipaji cha mtoto mwenye uwezo wa kujenga barabara na madaraja, yaahidi kumwendeleza

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetambua kipaji adimu cha mtoto Riziwani Martin Asheri, mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma, ambaye ameonyesha uwezo wa kipekee katika kujenga barabara na madaraja, na kuahidi kumwendeleza…

Bilioni 161. 3 kuimarisha huduma za afya nchini

NA WAF – Dar es Salaam Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba…