Author: Jamhuri
Tanzania, India kuendelea kuimarisha ushirikiano
Tanzania na India zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kindugu kuliopo baina ya mataifa hayo mawili. Hayo yamejadiliwa katika mazungumzo kati ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe…
Wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za uchumi na kulinda haki za watoto wenye ulemavu
…………………………………………………………………. Na Jackline Minja, WMJJWM, Mbeya Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali itaendelea kusimamia haki za wanawake na wasichana pamoja na kuwawezesha kiuchumi ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika maendeleo ya…
Kabudi akutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola London, wajadili ushirikiano na demokrasia
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Botchwey, yaliyolenga kuimarisha ushirikiano katika masuala ya utawala bora, demokrasia na maendeleo ya pamoja. Katika mazungumzo hayo, pamoja…
Wanufaika 41,000 kutoka makundi mbalimbali kunufaika na Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijisia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mahandisi Zena Ahmed Said amesema jumla ya wanufaika 41,000 kutoka katika makundi mbali mbali ya kijamii wanatarajia kunufaika na Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijisia…
Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kurekebisha katiba kuhusu kupinga matokeo ya urais
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) na Watu imetaka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuchukua hatua za kikatiba na kisheria kurekebisha kifungu cha Katiba kinachozuia kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Rais mahakamani….
Waongoza watalii watakiwa kuzingatia misingi ya kazi zao
Na Sixmund Begashe, JamhuriMedia, Arusha Waongoza watalii wote nchini wametakiwa kuchukuwa hatua zote za taadhari wakati wanapowatembeza watalii katika maeneo ya Hifadhi hususani Hifadhi ya Taifa Serengeti hasa kipindi hiki cha mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Wito huo umetolewa na Waziri…





