JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni mahabusu ambaye nimo gerezani kwa amri ya mahakama nikituhumiwa kesi ya kubambikiwa ya mauaji. Nimo gerezani tangu Mei 08, 2016 mpaka hivi sasa unavyosoma barua hii. Mheshimiwa Rais, sababu ya kupewa…

Mfumo wa Tehama kuzilinda barabara

Bodi ya Mfuko wa Barabara imo mbioni kuzindua mfumo wa Teknolojia na Mawasiliano (Tehama) utakaowashirikisha wananchi katika kufuatilia uharibifu na matengenezo ya barabara. Lengo la kuanzishwa kwa mfumo huo ni kuwawezesha na kuwashirikisha watumiaji wa barabara kutoa taarifa kwa mamlaka…

MAISHA NI MTIHANI (40)

Unapotaka kufanikiwa, uwe kama udongo mikononi mwa mfinyanzi Unyenyekevu ni mtihani. Unapojivuna kuwa umeupata unyenyekevu unapotea. Kama wewe ni mnyenyekevu usiwaambie watu kuwa wewe ni mnyenyekevu. “Kuanguka hakuumizi wale ambao wanapaa chini chini.” (Methali ya China). Ukipaa juu sana unapoanguka…

Mchawi wa ajira tunaye wenyewe

Serikali imetenga Sh bilioni 40 kwa mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya VETA katika wilaya 25 nchini. VETA wanasema maombi ya vijana wanaotaka kujiunga kwenye vyuo vyake yamefikia 800,000 kwa mwaka ilhali uwezo…

Nia njema tabibu, nia mbaya harabu

Nia ni kusudio, yaani dhamiri ya kutaka kukamilisha jambo au haja. Binadamu hafanyi jambo bila ya kuwa na nia katika nafsi yake. Nafsi humsukuma kutaka jambo lake lifanikiwe katika umbo la uzuri au ubaya. Nia nzuri au mbaya huonekana binadamu…

Yah: Siasa ni muhimu kwa taifa lolote

Naanza na salamu. Salamu ni uungwana wa kawaida kwa muungwana yeyote ili aweze kuwasiliana na mwenzake, maisha ya kuishi kila mtu akimuona mwenzake ni adui si maisha mazuri na kupishana kwa itikadi hakutufanyi tuwe maadui na kukubali matokeo ya walio…