Author: Jamhuri
Jeshi la Polisi liundwe upya
Hivi karibuni kwenye gazeti hili tuliandika habari iliyohusu mtandao wa matapeli wa madini unaowahusisha polisi kadhaa jijini Dar es Salaam. Tukaeleza kwa kina namna polisi hao wanavyoshirikiana na matapeli wa madini kuwaibia wenyeji na raia wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali…
Yah: Mheshimiwa Rais acha kutukatia mipenyo ya hela za dili
Inawezekana wengi wetu tulikuwa hatukuelewi wakati wa kampeni zako za kuutaka urais. Kuna wakati ulisema kabisa unataka kulala mbele na wapiga dili, sisi kwa umbumbumbu wetu tulidhani ni dili za mafisadi na siyo sisi wapiga dili ndogondogo. Baada ya kuapishwa,…
Silaha yetu umoja na amani
“Mwezi Julai 1959 wakati wa kushangilia siku ya Saba Saba, Rais wa Chama, Julius Nyerere, aliweza kutamka; “Silaha ya amani tuliyotumia; njia ya Katiba ya juhudi zetu; uwazi wa nia zetu na jinsi tulivyotoa madai yetu bila uoga, umeleta sura…
Michezo haihitaji siasa
Wadau wa mchezo wa riadha nchini wameombwa kuja na mbinu mbadala kama kweli wana nia ya dhati ya kufufua mchezo huo kutoka ngazi ya shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu kuliko kuwaachia wanasiasa wasiokuwa na ufahamu wa michezo. Wakizungumza…
Agizo la Magufuli laibua utata
Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo. Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 12
IDARA YA UHAMIAJI 257. Uhamiaji ni idara ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani yenye majukumu na wajibu kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Uhamiaji (The Immigration Act, 1995). Majukumu ya Idara ya Uhamiaji yanajumuisha kuzuia uingiaji nchini Tanzania wa watu…