Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Nchi za NORDIC Anne Veathe Tvinnereim akipokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo alipowasili Ofisi hizo jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya mazungumzo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Nchi za NORDIC Mhe. Anne Veathe Tvinnereim pamoja na ujumbe wake katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini D
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikabidhi kitabu cha Mpango Kabambe wa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (2022-2032) kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Nchi za NORDIC Mhe. Anne Veathe Tvinnereim mara baada ya kufanyika kwa kikao katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma.