Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini, Katibu Mkuu, Christopher Kadio, (wapili kushoto), na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi.
Naibu Kamishna wa Magereza (DCP), Jeremiah Katungu, akijitambulisha katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Naibu Waziri, Jumanne Sagini. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini na Kulia ni Katibu Mkuu, Christopher Kadi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma

By Jamhuri