Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda  Mheshimiwa Paul Kagame  Mazungumzo yaliofanyika katika  Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

By Jamhuri