Author: Jamhuri
Fedha zatafunwa Chuo cha Mandela
Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) iliyopo jijini Arusha, unajitahidi kufanya kila linalowezekana kuficha vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka katika chuo hicho. Hivi karibuni, uongozi huo umewasilisha serikalini kile kinachoonekana kuwa ni…
Ulinzi wa nchi yetu jukumu letu sote
Jeshi la Polisi, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, linapaswa kujipanga kikamlilifu kukabiliana na matukio ya mauaji yanayolikumba Taifa katika kipindi kifupi sasa. Leo nimekumbuka uzalendo wa nchi yetu miaka kadhaa iliyopita. Nimekumbuka uzalendo kwa maana ya kila…
Maisha yanaongozwa na malengo.
Maisha ni malengo. Hakuna maisha ya mkato. Ishi kwa malengo. Tusiishi kwa sababu tunaishi. Tuishi kwa malengo, kwa sababu Mungu ametuumba tuishi kwa malengo. Ungana na Henry James kuamini maneno haya; “Ni muda mwafaka wa kuishi maisha ambayo umeyafikiria kwa muda…
Ndugu Rais, Lila na Fila hazitangamani
Ndugu Rais wiki iliyopita nilikuomba unijalie nimzike Wilson Kabwe! Katika mrejesho nimepokea simu nyingi na ujumbe mwingi wa kutia moyo. Pamoja na upungufu wote tulioumbwa nao kama wanadamu, lakini tunapoandika tunachagua maneno kwa sababu lengo letu kubwa ni kujenga, si…
Kongwa: Kitovu cha Ukombozi Afrika
Kama tunaweza kuandika orodha ya kambi 10 muhimu kihistoria za kijeshi Afrika nzima, naweza kusema bila kusita Kongwa itakuwamo kwenye orodha hiyo. Hata kama sisi tukilala usingizi na historia yetu, viongozi wa nchi za Afrika kamwe hawatasahau Kongwa. Na hata…
Tuwasaidie wazee wayamudu maisha
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema na amani kila kukicha. Kusema kweli hatuna budi sisi wanadamu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi anayotutendea ikiwa ni pamoja na uhai, ambao tumejaaliwa kuwa nao kutokana na neema na upendo…