Author: Jamhuri
Ukweli kuhusu Mwiba Holdings (3)
Maelekezo/Maagizo ya Nyalandu Nyalandu aliwaambia Wakurugenzi -Profesa Songorwa na Profesa Kideghesho kuwa yeye anamfahamu mmliki wa FCF; na ni marafiki. Lakini kubwa ni historia ya kampuni zake katika tasnia ya uwindaji wa kitalii na mchango mkubwa katika uhifadhi na…
Miaka kumi tangu TX Moshi William atuache (2)
Wasifu wa TX Moshi William unaeleza kuwa majina yake halisi alikuwa akiitwa Shaaban Ally Mhoja Kishiwa. TX Moshi aliyezaliwa mwaka 1954, ameacha mke na watoto wanne – Hassan, Maika, Ramadhan na Mahada. Historia yake katika muziki inaonesha kwamba alianza tangu…
Msuva, Ibra Ajib wanasubiri nini?
Kuna maswali mengi unayoweza ukajiuliza kwa wachezaji wa Tanzania pale wanapoona mafanikio ya Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Miongoni mwa maswali hayo ni kwamba wanawaza nini? Wanajifunza nini? Samatta kwa sasa anacheza soka la mafanikio katika Klabu ya KRC Genk…
Bunge lapasuka
Tuhuma za wabunge kuchukua au kuomba rushwa kutoka katika mashirika na taasisi wanazozisimamia, zimechukua sura mpya baada ya kubainika mkakati unaosukwa na wabunge wafanyabiashara ya mafuta kuiangamiza Mamlaka ya Nishati na Maji (EWURA), waweze kurejesha uchakachuaji wa mafuta. Mbali na…
Wafanyakazi wachapwa viboko
Wafanyakazi wa Kampuni ya Usangu Logistics wanatarajia kuiburuza kampuni hiyo kortini kutokana na kuchapwa viboko, kufukuzwa kazi kinyume cha sheria na kunyimwa stahiki. Wanasema mwajiri wao mwenye asili ya Kiarabu, amekuwa akiwachapa bakora na kuwakata mishahara bila sababu za msingi,…
Kigogo Uhamiaji aibeba TBL
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…